UTANGULIZI

Kopafasta microfinance ni Taasisi binafsi ya utoaji mikopo kwa njia ya mtandao (online) inayolenga kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa tu natoa mikopo kwa waajiriwa wa serikali na kampuni binafsi nchi nzima.:

Kupitia tovoti hii tunatoa mikopo kuanzia shilingi 500,000 (Laki tano) Hadi shilingi 10,000,000 (Millioni kumi) kwa mtu yoyote mwenye kuhitaji mkopo.

VIGEZO NA MASHARTI

▶Mteja lazima akamilishe taarifa zake ili kuweza kukizi vigezo na aweze kupatiwa mkopo ndani ya dakika 30 tu.
▶Mkopo hauwezi kutolewa endapo taarifa za mteja sio sahihi.  
▶Kiasi cha akiba husimama kama riba ya kiasi cha mkopo atakaochukua mteja , ambapo riba unalipia kabla ya mkopo
▶Kiasi cha akiba kinategemeana na kiasi cha mkopo anaochukua mteja
▶Ni sharti la lazima kwa kila mkopaji kuweke akiba ndipo apatiwe mkopo ndani ya dk 30.

KUJIUNGA ONLINE

▶Kopafasta tumeweka njia rahisi ya kupata mkopo kwani tumempa uhuru kila mtanzania kujiunga na huduma kwa mapendekezo (hiari) yake , Ambapo mteja anaweza kujiunga kupitia Internet(online) kupitia simu au kompyuta akiwa mahali popote na muda wowote akapata mkopo wake ndani ya dakika 30 bila usumbufu wowote ule.

▶UHAKIKA WA HUDUMA ZETU
Huduma hii ya mkopo ni ya Uhakika , Salama na haraka zaidi. Hatuhusiki na ubadhilifu wa aina yeyote ile kwa wateja wetu, mkopo huu hutolewa ndani ya dakika 30 Punde mara baada ya mteja kuweza kukamilisha taratibu zote (vigezo na masharti) . Hivyo tunajivunia kuweza kutoa huduma nzuri na kwa wakati kwa wateja wetu , Mteja upatiwa mkopo pindi anapokuwa amekidhi vigezo , Hatutoi huduma yeyote kwa mteja asiefuata utaratibu wa huduma zetu!

▶KWANINI AKIBA.?
Ukiwa kama mteja wa Kopafasta microfinance unaweza kujiuliza kwanini unatoa kiasi cha akiba kabla ya kupatiwa mkopo? , Kiasi cha akiba ni moja ya kigezo ambacho kitamuwezesha mteja kuweza kupatiwa mkopo , Kiasi hiki cha akiba hutolewa na mteja kabla ya kupatiwa mkopo na kiasi hiki ndio riba ya mkopo atakaochukua mteja kwa kipindi chote cha mkopo.

▶JE KUNA RIBA..?
Ndiyo, kila huduma ya mkopo huwa na riba. Hata hivyo, katika utaratibu wetu, mteja hulipa deni lake kwa urahisi bila usumbufu. Kiasi cha akiba anachoweka kabla ya kupata mkopo ndicho kinachochukuliwa kama riba ya mkopo. Hivyo, mteja atarejesha kiasi alichokopa pekee, bila kuongezewa riba nyingine. Kumbuka: akiba iliyotolewa kabla ya mkopo haitarudishwa baada ya kumaliza kulipa, kwani hiyo ndiyo riba ya mkopo wako.

REJESHO LA KILA MWEZI
▶Rejesho la mkopo kuanzia laki tano hadi milioni moja ni shilingi 50,000 kwa mwezi na Rejesho la mkopo kuanzia shilingi milioni 2 hadi milioni 10 ni kati ya (100,000 hadi 500,000) Hapa chini tumeandika kila mkopo na akiba yake pamoja la rejesho lake la mwezi.

MIKOPO AKIBA NA REJESHO

▶LAKI TANO (500,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 65,000 , malipo ya deni ni miezi 10 kila mwezi utarudisha shilingi 50,000
…………………………………………………………….
▶LAKI SITA (600,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 75,000 , malipo ya deni ni miezi 12 kila mwezi utarudisha shilingi 50,000
…………………………………………………………….
▶LAKI SABA (700,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 85,000 , malipo ya deni ni miezi 14 kila mwezi utarudisha shilingi 50,000
…………………………………………………………….
▶LAKI NANE (800,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 95,000 , malipo ya deni ni miezi 16 kila mwezi utarudisha shilingi 50,000
…………………………………………………………….
▶LAKI TISA (900,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 105,000 , malipo ya deni ni miezi 18 kila mwezi utarudisha shilingi 50,000
…………………………………………………………….
▶MILIONI MOJA (1,000,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 150,000 , malipo ya deni ni miezi 20 kila mwezi utarudisha shilingi 50,000
…………………………………………………………….
▶MILIONI MBILI (2,000,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 250,000 , malipo ya deni ni miezi 20 kila mwezi utarudisha shilingi 100,000
…………………………………………………………….
▶MILIONI TATU (3,000,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 350,000 , malipo ya deni ni miezi 20 kila mwezi utarudisha shilingi 150,000
…………………………………………………………….
▶MILIONI NNE (4,000,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 450,000 , malipo ya deni ni miezi 20 kila mwezi utarudisha shilingi 200,000
…………………………………………………………….
▶MILIONI TANO (5,000,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 550,000 , malipo ya deni ni miezi 20 kila mwezi utarudisha shilingi 250,000
…………………………………………………………….
▶MILIONI SITA (6,000,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 650,000 , malipo ya deni ni miezi 20 kila mwezi utarudisha shilingi 300,000
…………………………………………………………….
▶MILIONI SABA (7,000,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 750,000 , malipo ya deni ni miezi 20 kila mwezi utarudisha shilingi 350,000
…………………………………………………………….
▶MILIONI NANE (8,000,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 850,000 , malipo ya deni ni miezi 20 kila mwezi utarudisha shilingi 400,000
…………………………………………………………….
▶MILIONI TISA (9,000,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 950,000 , malipo ya deni ni miezi 20 kila mwezi utarudisha shilingi 450,000
…………………………………………………………….
▶MILIONI KUMI (10,000,000)
Ili kupata mkopo wa shilingi 500,000 utaweka akiba shilingi 1,250,000 , malipo ya deni ni miezi 20 kila mwezi utarudisha shilingi 500,000
…………………………………………………………….

▶ZINGATIA HAPA
Hauruhusiwi kujaza fomu ya kuomba mkopo ikiwa haujakubaliana na utaratibu wa huduma zetu , Ili kuepusha usumbufu kwa wateja wengine kuweza kuipata huduma kwa wakati. Endapo fomu yako imekubaliwa ni lazima ulipie Kiasi cha akiba &Bima ndipo uweze kupokea mkopo wako ,